1.Despair not, TRY TO YOU You. (NOTHING BUT IS CONFIDENTIAL TO SUCCESS
GOOD PREPARATION RESULTS DO work hard and learn from the mistakes)
2. USIKATE TAMAA, EMBU JARIBU NAWE UTAWEZA.( HAKUNA SIRI YA MAFANIKIO BALI NI MATOKEO YA MAANDALIZI MAZURI KUFANYA KAZI KWA BIDII NA KUJIFUNZA KUTOKANA NA MAKOSA)
Pini hili la "Gangsta",ni
collabo kati ya hiphop Mc's anzia Dar-Arusha-Mombasa mpaka
Nairobi.Artists walopita ni BouNako, FiDo, MoPlus, Frost ,GeeZMabov,
LavosT na RitchieRich,Hiphop ni worldwide na tunafanya kazi kwa pamoja
kuimarisha game na mshikamano ambao upo kati yetu wasanii,Geez Mabov
anarepresent Dirty South pande za DSM,FiDo,MoPlus,Frost na BouNako
wanarepresent Arachuga,Lavosti toka Ukoo MauMau anarepresent Mombasa na
RitchieRich toka HeadBangaz International akirepresent pale Nairobi
City,Audio ikiwa imesmamiwa pande za Noizmekah Studios,Video ya pini
hili inaendelezwa editing Pande za RED Films Arusha..
No comments:
Post a Comment
I would be killed very resourceful in my imagination