1.Despair not, TRY TO YOU You. (NOTHING BUT IS CONFIDENTIAL TO SUCCESS
GOOD PREPARATION RESULTS DO work hard and learn from the mistakes)
2. USIKATE TAMAA, EMBU JARIBU NAWE UTAWEZA.( HAKUNA SIRI YA MAFANIKIO BALI NI MATOKEO YA MAANDALIZI MAZURI KUFANYA KAZI KWA BIDII NA KUJIFUNZA KUTOKANA NA MAKOSA)
Kwamujibu wa Kamanda wa Polisi mkoa wa Kinondoni hakuna mwandishi yeyoye
aliyeongea na Lulu kuhusu ushahidi aliotoa kuhusu kifo cha Kanumba, na
kuhusu alichohojiwa na polisi hakiruhusiwi kusemwa hadi pale uchunguzi
utakapokamilika, NA PIA Uchunguzi wa kilichosababisha kifo cha Steven
Kanumba bado unaendelea, na leo ndo mwili wake ulikuwa unafanyiwa
uchunguzi hospitali hivyo basi TAARIFA zote zilizosambazwa na watu sio
rasmi, uchunguzi utakapokamilika Jeshi la Polisi ndo litatoa taarifa
kamili.
No comments:
Post a Comment
I would be killed very resourceful in my imagination