Saturday, October 29, 2011

CLARA ELIAS APATA SHAVU KWENYE BLOG YA ONE MOCKE









Clara Elias,moja ya warembo waliopata shavu la kuuza sura katika blog bana yangu,hivi punde utamuona hapo juu.
  Mbali hayo mrwembo huyu ana umri wa miaka 21,anapendelea ndizi nyama na kinywaji laini,ana elimu ya Diploma pia hupendelea kusikiliza muziki,kucheki movie na kuchati na watu mbalimbali.












No comments: