Thursday, October 6, 2011

Mv Spice islander

Huyu jamaa aliponea chupuchupu kufa katika ajali ya meli ya mv spice islanderbaada ya kudandia dumu la maji uhai.Kuanzia leo hataki hata kuyaona maji ya bahari maana hana hamu nayo kabisaaaaaaaaa

No comments: