1.Despair not, TRY TO YOU You. (NOTHING BUT IS CONFIDENTIAL TO SUCCESS
GOOD PREPARATION RESULTS DO work hard and learn from the mistakes)
2. USIKATE TAMAA, EMBU JARIBU NAWE UTAWEZA.( HAKUNA SIRI YA MAFANIKIO BALI NI MATOKEO YA MAANDALIZI MAZURI KUFANYA KAZI KWA BIDII NA KUJIFUNZA KUTOKANA NA MAKOSA)
Pages
▼
Sunday, March 25, 2012
Basi la Super Najmunisa lateketea kwa moto jioni ya leo Mkoani Morogoro
Basi la Abiria la kampuni ya Super Najmunisa lifanyalo safari zake
kati ya Dar es Salaam na Mwanza. likimalizikia kuteketea kwa moto mara
baada ya kupata shoti ya betri.ajali hiyo imetokea jioni ya leo maeneo
ya Berege Mkoani Morogoro wakati basi hilo likiwa njiani kuelekea jijini
Dar es Salaam kutokea Mwanza. hakuna mtu yeyote aliedhulika kwenye
ajali hiyo isipokuwa mizigo yote ya abiria hao iliteketea kwa moto.
Basi hilo nikiendelea kuwaka moto.
Sehemu ya Abiria wa Basi hilo pamoja na wamazi wa maeneo ya jirani
na kijiji hicho wakiwa wamekaa pembeni kuangalia jinsi gari hilo
linavyoteketea kwa moto bila ya wao kujua la kufanya wakati huo.
No comments:
Post a Comment
I would be killed very resourceful in my imagination