1.Despair not, TRY TO YOU You. (NOTHING BUT IS CONFIDENTIAL TO SUCCESS
GOOD PREPARATION RESULTS DO work hard and learn from the mistakes)
2. USIKATE TAMAA, EMBU JARIBU NAWE UTAWEZA.( HAKUNA SIRI YA MAFANIKIO BALI NI MATOKEO YA MAANDALIZI MAZURI KUFANYA KAZI KWA BIDII NA KUJIFUNZA KUTOKANA NA MAKOSA)
Pages
▼
Sunday, March 25, 2012
SIMBA SC YAIRARUA ES SETIF 2-0
Mashabiki wa Simba kabla ya mchezo.
Kikosi cha Simba kilichowaua Waarabu leo.
Felix Sunzu kazini.
Salum Machaku (katikati) akisikilizia maumivu.
Waheshimiwa Fredric Sumaye, Said El-Maamry, Zitto Kabwe na Aden Rage wakiipa sapoti Simba SC. Wekundu
wa Msimbazi, Simba SC leo wameirarua ES Setif kutoka nchini Algeria kwa
mabao 2-0 kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika, uliopigwa katika
Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Mabao ya Simba yamefungwa na
Emmanuel Okwi pamoja na Haruna Moshi.
No comments:
Post a Comment
I would be killed very resourceful in my imagination