1.Despair not, TRY TO YOU You. (NOTHING BUT IS CONFIDENTIAL TO SUCCESS
GOOD PREPARATION RESULTS DO work hard and learn from the mistakes)
2. USIKATE TAMAA, EMBU JARIBU NAWE UTAWEZA.( HAKUNA SIRI YA MAFANIKIO BALI NI MATOKEO YA MAANDALIZI MAZURI KUFANYA KAZI KWA BIDII NA KUJIFUNZA KUTOKANA NA MAKOSA)
Baada ya Tamani, Bongo Records na T-Block Entertainment wanamleta kwenu Msamiati akishirikiana na Jux pamoja na Steve RnB kwenye nyimbo yake mpya inaitwa NYINGINE. Msamiati “Wote mnajua uwezo wa P-Funk a.k.a Majani, ukiniuliza kitu kingine cha ziada kilichonipeleka kwake ntajibu nilichagua kuwa historia mpya ya Bongo Records, ilikua kazi rahisi kwakuwa nimefanya na waimbaji bora ila bado ukaribu, ushirikiano, uvimilivu na kiu ya kufanya vizuri kwa kila mmoja wetu ilitosha kufanya muungano wetu utoe kitu kizuri na tofauti kwaajili ya wasikilizaji na wapenzi wa muziki
No comments:
Post a Comment
I would be killed very resourceful in my imagination