Maiti za kijana ambaye ameuawa kikatili maeneo
ya Mabibo Majimachafu jijini Dar es salaam baada ya kudaiwa kuwa kibaka
huyo akutambuliwa jina baada ya kuuawa na wananchi wenye hasira.
Imedaiwa kibaka huyo alikwapua mpita njia waliokuwa wakiwahi makazini
alfajiri..alikimbizwa akakamatwa na kutiwa kiberiti kama nyama choma'.
Mama mmoja wa marehemu alijitokeza eneo hilo na kumtambua kibaka huyo
kuwa ni mwanae na akasema kwamba alikuwa hajaonekana nyumbani kwa muda
wa wiki moja!!
No comments:
Post a Comment