BARNABA AMUONYESHA MTOTO WAKE WAKIUME.
Baada
ya kuletwa duniani mtoto wa msanii kutoka THT Barnabas amenitumia picha
ya mtoto wake wa kiume ambaye amempa jina la Steven Barnaba. Hii ni
Exclusive picha ambayo nilikuwa nikiisubiria hatimaye nimeipata picha ya
mtoto na kuiunganisha na baba yake ili tujue ndugu yetu kama amefanana
naye AU???
No comments:
Post a Comment