KANUMBA AMEACHA GUMZO KWA WAPENZI WA FILAMU TANZANIA NA AFRICA KWA UJUMLA.
Ni
alfajiri kabisa kama saa 12 hivi watu wengine wakiwa ndio wanaamka na
wengine wakienda kulala na kupata mshtuko wa kuondokewa na kipenzi chao
kwenye tasnia ya filamu hapa bongo Steven Kanumba nyumbani kwake Sinza
Vatcan. Chazo kinasema Kanumba alitoka kuoga na kumkuta Lulu ambaye
inasemekana ni wapenzi akiongea na simu ndipo hapo ugomvi ulipoanzia
mpaka kanumba kujikuta akidondokea kisogo na kutokwa na damu nyingi. Kwa
sasa msanii wa kike Lulu anashikiliwa na police kwa maelezo zaidi
Watu wakiwa hawaamini kilichotokea
Msanii Shilole akiwa hajielewi kabisa akiingia nyumbani kwa Marehemu
Rafiki mkubwa wa marehemu anaitwa Tito yeye ndio alikuwa na mwili wa marehemu hadi hosp ya Mwimbili
Msanii Johari akiwa kwenye huzuni kabisa akifanya mahojiano ya TV
Kijana huyu yeye alipopata habari pale pale alianguka chini
H.Baba akiwasili nyumbani kwa Marehe Steven Kanumba
Swahiba mkubwa wa Kanumba Ray akiwa mwenye huzuni nyingi
No comments:
Post a Comment