NEW SONG: SAJNA FT. VUMILIA - MWANANGU
Tetemesha Records inamleta kwa mara nyingine msanii SAJNA na
safari hii amemshirikisha msanii wa kike anaitwa VUMILIA aliewahi
kufanya vizuri na nyimbo kama (Utanikumbuka) na nyingine nyingi. Wimbo
huu mpya wa SAJNA unaitwa "MWANANGU".
Huu
ni wimbo ambao unazungumzia mapenzi ya mzazi kwa mwanae, na umelenga
pande zote yaani mzazi wa kike na mzazi wa kiume, pia mtoto wa kike na
mtoto wa kiume. Lakini pia hata wale ambao hawajapata watoto
hawakusahaulika. Hivyo kwa mantiki hii ni wimbo unaomgusa kila mmoja
katika jamii.
Song details
Track Name: MWANANGU
Artists: SAJNA ft. VUMILIA
Lyrics composed by: SAJNA, JOSEFLY & KID BWOY
Arranged by: KID BWOY
Produced by: KID BWOY & AMBA
Mixed by: KID BWOY
Studio: TETEMESHA RECORDZ
April 2012
No comments:
Post a Comment