Special gift to late STEVEN CHARLES KANUMBA 1984 - 2012
kwa
huzuni nyingi na masikitiko makubwa uongozi wa SHINE PRODUCTIONS
TANZANI chini ya DR.SILSILA tunapenda kutoa rambi rambi zetu kwa njia
hii ambapo kwa kuzingatia umuhimu mkubwa sana wa KANUMBA THE GREAT
katika tansinia ya filam tanzania na muziki wa injili tumeamua kufanya
wimbo kwa ajili ya kumuenzi mpendwa wetu STEVE CHARLES KANUMBA,wimbo huu
umefanyika katika studio ya SHINE PRODUCTION iliyoko kinondoni na
tunatarajia mpaka kufikia kesho saa 6 video yake itakuwa tayari hivi
nitumapo mail hii tayari director wangu amekwisha andaa kila kitu
zikiwemo shots za kusikitisha zinazotoa uhalisia juu ya KANUMBA kipenzi
cha wengi.
R.I.P STEVE CHARLES KANUMBA
WE NOW REALIZE THAT YOU NOT TOGETHER WITH US AGAIN IN OUR EYES BUT YOU WILL ALWAYS REMAIN IN OUR SOULS 4EVER.
R.I.P STEVE CHARLES KANUMBA
WE NOW REALIZE THAT YOU NOT TOGETHER WITH US AGAIN IN OUR EYES BUT YOU WILL ALWAYS REMAIN IN OUR SOULS 4EVER.
No comments:
Post a Comment