FILAMU ZA TZ

DIANA

Director : 
 Single Mtambalike
Mtunzi : 
 Single Mtambalike
Stars : 
 Halima Yahya, Single Mtambalike, Sabrina Rupia
Kwa nini kila siku uhadithiwe mdau..embu wahi sasa nakala yako ujionee huyo Diana ni nani? na amefanya nini...kwa nini Diana na isiwe flani?...Kazi wkako mdau wangu


DETECTIVE




CHUPA NYEUSI


Stars : 
 Dotnata, Rihama, Pachko, Irene Uwoya
Nenda moja kwa moja ukaitupe baharini usithubutu kuifungua...endapo utaifungua utaangamiza dunia hii ndiyo Chupa Nyeusi

             KIAPO


www.onemocke.blogspot.com

Director : 
 Steven Kanumba, Issa Mussa
Mtunzi : 
 Steven Kanumba
Producer: 
 JML Productions
Stars : 
 Mahsein Awadh, Irene Uwoya, Issa Mussa
Aida (Irene Uwoya) ni msichana aliyekuwa na mategemeo ya kupata mapenzi ya kweli kwa kuweka KIAPO lakini aliumizwa kwa usaliti kwa yule aliyempenda kwa dhati......


Red Paper


Director : 
 Reuben Mtikila

Mtunzi : 
 Reuben Mtikila
Producer: 
 Msekwa's Media
Stars : 
 Bakari Makuka, Charles Magari, Rehema Kiula
Baada ya kupata tuhuma za uchawi na kunusurika kuuwawa na wanakijiji..Mzee Mbunga achukuliwa na kaka yake na kutekwa mjini, anatamani mali za kaka yake na kuanza kumfanyia mambo ya kishirikina ili aridhi mali hizo...Embu fwatilia kisa hicho kwa Mzee Mbunga

All About Love


Stars : 
 Hemedy, Jenifa Kyaka, Jacqueline Wolper
Juha ni mwenye kujua, asiyejua siju juha...hebu achana na tamaa ya kuingiza mkono kwenye mzinga wa nyuki bila ya idhini toka kwa Malkia wa mzinga huo.
Kwani maisha hayapo hivyo, siku zote ukitaka kilicho kizuri unahitaji jitihada za makusudi..yote hayo yamo ndani ya mapenzi...Wahi sasa nakala yako usingoje kuhadithiwa kila siku


My Flower


Director : 
 Mahsein Awadhi Said
Producer: 
 Flaviana Thomas
Stars : 
 Mahsein Awadhi Said, Flaviana Thomas, Adam Kuambiana
My Flower japo nimekuona au nikimuona mwanangu nitajisikia kama niko na wewe, ni kwa niniumeamua kunisaidia....ni maneno kutoka kwa Erick akiongea kwa uchungu...Wahi nakala yako sasa mdau wangu usingoje kuhadithiwa


The Lost Adam


Director : 
 Mtitu Game
Producer: 
 Mayasa Mrisho
Stars : 
 Jacob Steven, Rose Ndauka, Hemed Suleiman, Warda Walid, Patcho Mwamba
Kwa sasa ipo madukani...Ni Filamu iliyosheheni Udanganyifu,  Mapenzi, Tamaa yakiwemo na mengine yaizungukayo jamii.
Mdau wangu usingoje kila wakati uwe ni mtu wa kusimuliwa tuu, waweza simuliwa kinyume na utarajiavyo...embu wahi nakala yako sasa..je wataka kujua ni kitu gani mwanadada Ndauka kafanya kwenye filamu hiyo, wataka kujua Jacob Steven (Jb) alivyoingizwa mkenge na mwanadada Ndauka?
Natamani sana kukumegea kidogo ila naona nitakumalizia uhondo uliomo humu kwenye The Lost Adama.

No comments: