Monday, November 7, 2011

New song kutoka next week, by Endru G

Nisikitika kuwa taarifu kuwa utambulisho wa video yake mpya utakuwa next week,kutokana msichana aliyecheza kwenye video yake,amefiwa na mama yake mzazi na walisha safirisha msiba kwenda Songea pole sana Shora n R.i.p Vick Nyoni aka Mshua,tulikupenda lakini mungu kakupenda zaidi

No comments: