Monday, November 7, 2011

Regina Mwalekwa atimba Clouds FM

Ni kawaida kwenye free market watu ku move. Lakini wakati mwingine binadamu na ajira anafananishwa na ngombe wa kufugwa mmoja anapoona mwenzake kapewa majani anakula anafikiria yale ya mwenzake ni matamu zaidi na akipata mwanya huenda mbio kuonja. Njia pekee inayoweza mwajiri kujali wafanyakazi ni wakianza kuhama. Kama Mengi alikuwa anawabania huenda akabadilika

No comments: