MSANII BARNABAS KUTOKA THT APATA MTOTO WA KIUME.
Wakati
watanzania wakiwa kwenye majonzi makubwa kwa kuondokewa na kipenzi cha
Steven Kanumba. Mchana leo majira ya saa 6 msanii kutoka THT Barnabas
amepata mtoto wa kiume na ili kumuenzi Kanumba ameamua kumpa mtoto wake
jina la STEVEN BARNABAS

No comments:
Post a Comment