WIMBO MAALUMU KWA MAOMBOLEZO YA STEVEN KANUMBA - MOYO WA SIMANZI
Hawa
ni vijana ambao usiku huu wameamua kuingia studio ya Magic Star iliyopo
Sinza na kutunga wimbo huo uliopewa jina la MOYO WA SIMANZI. Kuanzia
kushoto ni Producer Cristone, anayefuata ni msanii ambaye kaimba wimbo
huo Y-Tone, Producer aliyemix wimbo Ada X pamoja na Hyper Man HK yeye
ameingiza maneno ya mwisho.
No comments:
Post a Comment