Wanamuziki wa Kalunde Band wakitumbuiza kwa staili ya kiduku, halfla iliyofanyika jana usiku katika hotel ya JB Belmont Hotel iliyopo katikati ya jiji la Dar.
Wachezajiwa Azam FC
walipata vyeti na nishani za utumiaji bora vipaji vyao ikiwa mchezaji
mwenye nidhamu, mchezaji aliedumu katika kiwangi msimu mzima, mfungaji
bora, mchezaji shupavu n.k.
Vijana kutoka India waliokuja Tanzania kujifunza soka la kibongo pia nao walipewa vyeti vya ushiriki wao katika msimu huu.
Shafih Dauda mtangazi wa Clouds FM akikabidhiwa cheti na Mh, Idd Azan Mbunge wa jimbo la kinondoni.
Waandishi wa habari za michezo walioandika zaidi habari za Azam FC walitunukiwa vyeti usiku wa jana.
Tafrija ikiendelea.
No comments:
Post a Comment