New Song- Juma Nature - Dogo
ONE MOCKE
1.Despair not, TRY TO YOU You. (NOTHING BUT IS CONFIDENTIAL TO SUCCESS GOOD PREPARATION RESULTS DO work hard and learn from the mistakes) 2. USIKATE TAMAA, EMBU JARIBU NAWE UTAWEZA.( HAKUNA SIRI YA MAFANIKIO BALI NI MATOKEO YA MAANDALIZI MAZURI KUFANYA KAZI KWA BIDII NA KUJIFUNZA KUTOKANA NA MAKOSA)
Thursday, August 22, 2013
Friday, August 9, 2013
Wednesday, July 31, 2013
Labels:
By anthony,
http://onemocke.blogspot.com,
One Mocke
Location:
Dar es Salaam, Tanzania
Monday, May 7, 2012
European Film Festival 2012 In Dar Es Salaam
Date: From the 11th to the 15th of May
Four venues: Alliance Francaise, British Council, Goethe Institut and Nafasi Art Space.
2 projections per day/ place at 17.30 and 20.00 pm.
And also short Tanzanian movie screened everynight at Spaggo French Bistro (Alliance francaise) from 22pm. Because we love culture and movies, WELCOME!

Wanamuziki wa Kalunde Band wakitumbuiza kwa staili ya kiduku, halfla iliyofanyika jana usiku katika hotel ya JB Belmont Hotel iliyopo katikati ya jiji la Dar.
Wachezajiwa Azam FC
walipata vyeti na nishani za utumiaji bora vipaji vyao ikiwa mchezaji
mwenye nidhamu, mchezaji aliedumu katika kiwangi msimu mzima, mfungaji
bora, mchezaji shupavu n.k.
Vijana kutoka India waliokuja Tanzania kujifunza soka la kibongo pia nao walipewa vyeti vya ushiriki wao katika msimu huu.
Shafih Dauda mtangazi wa Clouds FM akikabidhiwa cheti na Mh, Idd Azan Mbunge wa jimbo la kinondoni.
Waandishi wa habari za michezo walioandika zaidi habari za Azam FC walitunukiwa vyeti usiku wa jana.
Tafrija ikiendelea.
Friday, April 20, 2012
Wednesday, April 18, 2012
MSANII wa muziki wa kizazi kipya Alikiba, amefurahia kupewa vifaa vya muziki mabvyo ni Gitaa na Vinanda viwili vyenye thamani ya sh mil 1.5, na Prodyuza John Sheiza ‘Man Water’ baada ya wimbo wake wa ‘Dushelele’ aliyofanya kufanya vizuri.
Man Water juzi alimkabizi vifaa hivyo kwa msanii huyo, kwani hiyo ni kazi yake ya kutoa motisha kwa kila msanii anayerekodi kwake katika studio ya ‘Combination Sound’.
Akiongea na DarTalk, Alikiba alisema kuwa kwa kupewa vifaa hivyo kumtamfanya aongeze bidii katika utoaji wa kazi nzuri zinazoendana ubora wa kimataifa.
Hata hivyo alisema kuwa vifaa hivyo vinaweza kumsaidia katika kazi zake za muziki kwani amekuwa akivihitaji kwa muda mrefu.
“Namshukuru sana Man Water kwa kuona ubora wa kazi yangu, hivyo hata mimi kwa upande wangu namwambia kwamba nitaendelea kuwa naye karibu katika kukuza muziki wetu,” alisema.
Na Laurent Samatta

Subscribe to:
Posts (Atom)