KUTOKA MAKTABA: ZIARA YA BABA MTAKATIFU PAPA JOHN PAUL II NCHINI TANZANIA OKTOBA 1990
Baba Mtakatifu Papa John Paul II akiwapungia maelfu ya Watanzania
waliofurika katika viwanja vya Jwangani jijini Dar es salaam
alikoendesha misa maalum ya ziara yake hiyo Oktoba 1990
Baba Mtakatifu Papa John Paul II akimlisha mkate Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere
Baba Mtakatifu Papa John Paul II akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Horace Kolimba
Baba Mtakatifu Papa John Paul II akiwasili Jangwani
Baba Mtakatifu Papa John Paul II na ujumbe wake wa Vatican katika
mazungumzo rasmi na serikali ya Tanzania chini ya Rais Ali Hassan Mwinyi
Baba Mtakatifu Papa John Paul II akiwa na Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere
Rais Ali Hassan Mwinyi akimsindikiza Baba Mtakatifu Papa John Paul II baada ya kuhutubia Jangwani
Baba Mtakatifu Papa John Paul II akimpa zawadi Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Tanzania Mhashama Kardinali Rugambwa
Baba Mtakatifu Papa John Paul II na mwenyeji wake Mhashama Kardinali Rugambwa
.................
KUTOKANA NA MAOMBI YA WENGI, SIKU ZA JUMAPILI GLOBU YA JAMII
ITAKUWA IKIKULETEA MATUKIO MBALIMBALI YA KIHISTORIA YA NCHI YETU KUTOKA
MAKTABA ZETU KAMA HIVI.
MDAU MWENYE AINA YOYOTE YA TASWIRA ZA KUMBUKUMBU
MDAU MWENYE AINA YOYOTE YA TASWIRA ZA KUMBUKUMBU
No comments:
Post a Comment