DK. SHEIN MGENI RASMI KATIKA HAFLA YA KUSIMIKWA KWA ASKOF MPYA ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,akipeana mkono na Askofu wa Dayosisi ya Zanzibar Padre
Michael Henry Hafidh,baada ya kuwekwa Wakfu wa Dayosisi hiyo jana,katika hafla iliyofanyika Kanisa Kuu la Mkunazini Mjini Unguja jana.
Askofu wa Mkuu wa Dayosisi Tanzania
Dr.Valentino Mokiwa,(aliyesimama) akimuweka Wakfu Padre Michael
Henry Hafidh,(aliyelala) kuwa Askofu wa kumi wa Dayosisi ya Zanzibar
Kanisa Kuu la Mkunazini, Mjini Unguja jana.
Askofu wa Mkuu wa Dayosisi Tanzania
Dr.Valentino Mokiwa,(aliyesimama) akimuweka Wakfu Padre Michael
Henry Hafidh,(aliyelala) kuwa Askofu wa kumi wa Dayosisi ya Zanzibar
Kanisa Kuu la Mkunazini, Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipeana mkono na Askofu wa
Dayosisi ya Zanzibar Padre Michael Henry Hafidh,baada ya kuwekwa Wakfu
wa Dayosisi hiyo jana,katika hafla iliyofanyika Kanisa Kuu la Mkunazini Mjini Unguja
Askofu Mkuu wa Dayosisi Tanzania Dr.Valentino Mokiwa,(mbele)
akiongoza maaskofu katika sherehe za kumuweka Wakfu Padre Michael Henry
Hafidh,kuwa Askofu wa kumi wa Dayosisi ya Zanzibar Kanisa Kuu la
Mkunazini Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,(wa nne kushoto) Rais Mstaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa
na Mkewe Mama Anna Mkapa,Askofu Mkuu wa Dayosisi Tanzania
Dr.Valentino Mokiwa (katikati) wakiwa katika picha ya pamoja na Maaskofu
mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya ibada ya kumuweka kuwa Wakfu
Padre Michael Henry Hafidh,(wa tatu kushoto) kuwa Askofu wa kumi wa
Dayosisi ya Zanzibar katika Kanisa Kuu la Mkunazini Mjini Zanzibar
leo,(wa pili kushoto) Mke wa Askofu wa Dayosisi ya Zanzibar Merry
Michael .[Picha na Ramadhan Othman - Ikulu.]
No comments:
Post a Comment